Q Chillah Afunguka Baada ya Tuhuma za Management ya QS Kulalamika Kutumia Hela Nyingi Kwake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Q Chillah Afunguka Baada ya Tuhuma za Management ya QS Kulalamika Kutumia Hela Nyingi Kwake.

Taarifa za Q chillah na uongozi wake bado hazijawa nzuri sana kwa sababu kumekua na tuhuma na kutofautiana maelezo kati ya Q Chillah na uongozi wake wa sasa unaoongozwa na Mkurugenzi wake Mr. Qs J Mhonda.

Wikiend iliyopita kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii uongozi wa Q Chief ulikua na malalamiko kuwa wamewekeza pesa nyingi kwenye muziki wa Q Chillah lakini haijarudi hata robo ya pesa waliyowekeza na walipoulizwa kiasi walisema ni Milioni 200.

Upande wa Q Chillah hakua amezungumza na leo kapata nafasi ya kuongea na kusema >> ’Wanaweza wakawa kweli wana figure kamili lakini am not sure kama tukienda kwenye karatasi inaweza ikathibitika hilo’

‘Kwasababu you need to come with evidence haya ndo yale tunayosema kwamba unamshtumu mtu pasipo na hatia pengine unatumia pesa au jina lako au uwezo wako issue i wanna say ni kwamba am an artist na kuna sheria ambayo inanilinda’

‘Nia yangu mimi siyo kuingia vitani na QS bali ni kumwambia kuwa you should value me because i came from a situation where by no other artist has passed that situation, kama kaka kama kiongozi unapaswa kufanya kitu cha mabadiliko ambacho watu wengine ambao wanashutumiwa au wanafanya vitu vingine waone kweli kwasasa kioo chetu kina mabadiliko’

‘Haijalishi ni shillingi ngapi wame-invest kwasababu kama unaweza ku-invest Milioni 40 South Africa kwenye production,audio na video ika-cost Milioni 40 ukampa labda Patoranking Million 20 ikawa 60 alafu unarudi nyumbani huwezi tena kuweka million 50 au 80 kwa ajili ya promotion that means your not ready for this war’

‘Tunapiga mashuti ambayo hayaishii golini yaan kipa hapati tabu kudaka anafuta anaweka pembeni anaanza,mimi simshutumu me najaribu kumjenga ki saikolojia kwamba music is the game of war is the batter between life and death if you want to go for it you have to go for it’

‘Nimejaribu kumwambia kama brother i dont see him consetrait for what am saying seriosly siko hapa kum critisize niko hapa kumwambia tu mikataba ni lazima ibadilike that what am been saying’

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.