Picha: Rais Kenyatta Akicheza na Ku-Dab na Kundi la FBI. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Rais Kenyatta Akicheza na Ku-Dab na Kundi la FBI.

Rais kwa kenya Uhuru Kenyatta amekuwa gumzo kwenye mitandao baada ya picha zake aikwa anacheza na kupiga dab akiwa na vijana wa kundi la FBI Dance Crew. 
Rais Uhuru amekua akihimiza Raia haswa vijana wa Kenya kwenda kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kabla ya uchaguzi mkuu wa Kenya utakao fanyika mwishoni mwa mwaka huu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.