Picha: Christiano Ronaldo alivyo sherehekea siku ya Valentine day - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Picha: Christiano Ronaldo alivyo sherehekea siku ya Valentine day


Mpaka sasa yeye ndio mchezaji bora wa mwaka 2016/2017 hapa namzungumzia winga na Club ya Real madrid yenye makazi yake nchini Hispania na nahodha ya timu ya Ureno. Christiano Ronaldo ambae ametimiza miaka 31 siku chache zilizopita..
Bongoswaggz imezinyaka picha kadhaa za mchezaji huyo akiwa katikati ya jiji kwaajili ya kufanya manunuzi katika maduka fulan.
Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.