‘Napokosekana Kwenye Muziki Kuna Vitamin Vinakosekana Pia’ – Lord Eyez - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

‘Napokosekana Kwenye Muziki Kuna Vitamin Vinakosekana Pia’ – Lord Eyez

Kama uliwahi kudhani kuwa ukimya wa Lord Eyez kuna siku utasikia kaacha muziki au kaamua kupumzika inabidi uifute hiyo kauli kwa sababu yeye amesema kwake muziki unamhitaji na yeye anauhitaji Muziki.

Kupitia XXL ya Clouds FM,Lord Eyez amesema >> ‘Napokosekana kwenye muziki sijakosekana mimi,kuna vitu vimekosekana yaani muziki unanihitaji maana yake napokua sipo unakua kama una ulemavu hivi’ – Lord Eyez .

‘Nilichogundua siwezi kuacha muziki kwa sababu nautegemea muziki na muziki unanitegemea mimi kwamba nisipotema keshokutwa Mc’s si tutawauguza naona tunawaguza kibao lakini mtu mzima narudi watapona’. – Lord Eyes.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.