Messi Afanya Kufuru Hii Hapa Kwa Jirani Yake, Ni Baada ya Kuchoka Kelele. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Messi Afanya Kufuru Hii Hapa Kwa Jirani Yake, Ni Baada ya Kuchoka Kelele.

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (29) amenunua nyumba ya jirani yake katika eneo la Castelldefels, mjini Barcelona anapoishi kwa sababu walikuwa wakimsumbua kwa kelele.

Taarifa hizo zimeelezwa na mchezaji mwenzake wa Barca, Ivan Rakitic aliyesema kuwa Messi amekuwa akikerwa na kelele za jirani yake huyo hivyo kuamua kuinunua nyumba hiyo ili jirani aondoke na kuamuachia yeye na familia yake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.