Mariah Carey Achoma Moto Gauni la Harusi Lenye Thamani ya Dola Laki Mbili na Nusu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mariah Carey Achoma Moto Gauni la Harusi Lenye Thamani ya Dola Laki Mbili na Nusu.

Ukisikia kuachana vibaya ndio huku sasa, Pop staa Mariah Carey amechoma gauni lake la harusi aliyotaka kufunga na bilionea James Packer kwenye video yake ya ‘I Don’t‘.
Gauni hili lina thamani ya dola  $250,000 [Tsh 561,475,000.00] kutoka kwa mbunifu wa mavazi maarufu #Valentino na alipanga kuliva kwenye harusi yake iliyotakiwa kufanyika Bora Bora Nuptials.
Mariah anaonekana akijaribisha gauni hilo kwenye show ya maisha yake ya #Mariah’S World siku chache kabla ya kuachana na James Packer
Picha hizi zimepigwa nyumbani kwake Calabasas akichoma gauni hilo.

Hii ndio video yenyewe

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.