Manchester City Yaibamiza Monaco 5-3 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Manchester City Yaibamiza Monaco 5-3

Leroy Sane akipachika goli la nne dhidi ya Monaco

Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya mechi iliyochezwa usiku wa leo Jumatano ni Manchester City imeibuka mshindi kwa mabao 5 kwa 3 dhidi ya Monaco.

Mechi nyingine Bayern Leverkusen ilitandikwa 4-2 na Atletico de Madrid.

Michuano hiyo ya Ulaya itaendelea tena leo kwa michezo mingine miwili kupigwa. FC Seville watakua nyumbani kuwaalika mabingwa wa ligi kuu England wenye mwendo wa kusuasua Leicester City. Wareno wa FC Porto watawakaribisha vibibi vizee vya Torino, Juventus.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.