Idriss Sultan: Kwa hili alilolifanya Alikiba Huwenda Asiingie Motoni - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Idriss Sultan: Kwa hili alilolifanya Alikiba Huwenda Asiingie Motoni

Huwenda ukaitafsiri tofauti kauli ya Idriss Sultan baada ya kumtabiria Alikiba Alieachia remix ya ngoma yake ya Aje siku mbili zilizopita.kuwa huwenda asiingie motoni.
 Haikua rahisi kwa Idriss Sultan kulizungumza jambo kama hilo ila aliamua kumwaga ubuyu huo na kuamua kuutolea ufafanuzi zaidi alipowasili katika show iliyopewa jina la Love Melodies and Lights Event.

"Hakika kila mtu ni mzinzi na wazinzi wote tutaenda motoni ispokuwa Alikiba kwa kuwa yeye ndio mtu pekee mwenye uwezo wa kufanya video mbili tofauti katika nyimbo moja"


Pia Mchekeshaji huyo na mshindi wa Big Brother ya nchini Afrika kusini hakusita kuizungumzia idadi ya Meseji ambazo huingika katika ukurasa wake wa Instagram na jinsi ambavyo anawajibika nazo.

"Kwa wiki moja naweza kupokea meseji zaidi ya laki 5 kwa wiki hii hunipa wakati mgumu kuzisoma zote na kuzijiu zote, na kama nikiingia basi huwa ni kwaajili ya kazi moja tu ya 'Totoz' alafu basi" alimaliza kwa kusema hivyo mchekeshaji huyo.

Bongoswaggz inakusogezea Ubuyu kamili katika video hii. Itazama hapa chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.