Hemedy PHD Akutana na HemedyRAPA Wake ni Noma. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hemedy PHD Akutana na HemedyRAPA Wake ni Noma.

Ukitaja jina la HarmoRapa kwa Tanzania ni jina linalojulikana sana hasa hasa kwenye ishu za Entertainments kwani kijana huyo aliyefanana na Harmonize tunaweza kusema katumia Advantage ya kufanana nae iliajulikane na kufanya kazi zake za kimuziki kiurahisi.

Anyway!!Tuachane na ishu za Harmorapa leo tena nimepata bahati ya kukutana na Kopi ya Hemedy PHD na ishu kubwa ni kwamba jamaa kafanana nae kinoma na huyo jamaa HemedyRAPA na ni mtu wake wa Karibu anajulikana kwa jina la DJ Mario.

Najiuliza tu!! hivi kuna umuhimu wa kutumia Advantage ya kufanana na Star fulani ili kukuza jina lako (Branding) hususani kwa wale wanao jihusisha na Sanaa au Michezo?

Toa maoni yako hapo chini kwani suala hili la kufanana na Wasanii limekua Gumzo nasikia pia kuna Lulu Rapa!!!

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.