Haya Ndiyo Majina Aliyochagua Nuh Mziwanda Kwa Mtoto Wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Haya Ndiyo Majina Aliyochagua Nuh Mziwanda Kwa Mtoto Wake.

Nuh Mziwanda ametangaza majina ya mtoto wake ambae anatarajia kumpata hivi soon!! na mama kijacho wake ambapo ametaja majina mawili moja la kike na lingine la kiume itategemea jinsia ya mtoto atakaezaliwa.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika “Mama Travis or Malikah if God wishes,” so kama mtoto atakuwa wakiume ataitwa Travis na kama atakuwa wa kike ataitwa Malikah.

Umejiuna Nasi Instagram ? Kama Bado >Bofya Hapa< Sasa

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.