Hatimaye Alikiba Aikamata Tuzo Yake ya MTV EMA 2016. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hatimaye Alikiba Aikamata Tuzo Yake ya MTV EMA 2016.

Mwanamuziki Alikiba leo huko nchini South Africa amekabidhiwa Tuzo yake ya MTV EMA 2016 Kipengele cha Best African Act aliyoshinda mwaka jana na badala yake kupewa msanii Wiz Kid kimakosa. "Hii ni Tuzo yetu, tumeipigania na tumeipata...asanteni sana kwa kunipigia kura" amesema Alikiba baada ya kupokea tuzo hio.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.