Gigy Money: Wengi Walikuwa Wananishangaa Navyopiga Picha za Nusu Utupu, Ila Leo Nimekuwa Staa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Gigy Money: Wengi Walikuwa Wananishangaa Navyopiga Picha za Nusu Utupu, Ila Leo Nimekuwa Staa

Niwakumbushe kitu mlisemaga sitokua star kipindi kile naaanzaaa hustle zangu yes am not a star but am morethan a star am ๐Ÿ‘‘ueen of queens ......nawengine walikua wananishangaa why napiga picha half nude kikubwaaa sasa sikuiz nawao wanapiga wengine ndio mnawaita mastar wenu gigy ndio star wewe wana ni copy ๐Ÿ˜‚ wana copy copy wana ni copy .....#mimindiorolemodelwao ๐Ÿ˜‚ SIMKUBALI TU HATERS COZ U GUYS MAKE ME FAMOUS

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.