Dogo Janja Aweka Rekodi Hii Mpya YouTube - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dogo Janja Aweka Rekodi Hii Mpya YouTube

Dogo Janja ameanza kufurahia kuwepo kwa mtandao wa YouTube. Video yake ya wimbo wa ‘Kidebe’ imefikisha views milioni moja kwenye mtandao huo.

Kupitia mtandao wa Instagram, muimbaji huyo ameonekana kufurahia hilo kwa kuandika, 

“The best is still yet to come.. #1MillionViews #Kidebe Directed By @hanscana_ Cc: @babutale @madeeali @tundamantz #HipHop .”

Hii ni video ya kwanza ya Dogo Janja kutazamwa zaidi katika mtandao huo ambapo mpaka Jumatatu hii imeshatazamwa mara 1,001,982 tangu ilipotoka miezi mitano iliyopita. Nayo video yake ya’ My Life’ inaonekana kusogea japo ndio ya kwanza kutoka kabla ya ‘Kidebe’ ambapo mpaka sasa imeshatazamwa mara 866,210 YouTube.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.