Cameroon Mabingwa wa AFCON 2017 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Cameroon Mabingwa wa AFCON 2017

Timu ya Taifa ya Cameroon imechukua Ndoo ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON michuano iliyofanyika huko nchini Gabon baada ya kuifunga Misri bao 2-1.

Misri ambayo ilikuwa imenuia kushinda mashindano hayo na kuweka rekodi ya mshindi mara nane, ilikuwa ikiongoza katika kipindi cha kwanza kwa goli lililofungwa na Mohammed El Nenny na Baadae kusawazishwa kipindi cha pili na N’Koulou Kabla ya Goli la ushindi la Aboubakar kunako Dakika ya 88 .

Katika rekodi inakuwa ni mara ya tano kwa Cameroon kubeba kombe hilo la mataifa ya Afrika na Mara yake ya mwisho ilikuwa ni mwaka 2002.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.