Audio: Mb Dog – Uwe wangu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Mb Dog – Uwe wangu

Licha ya ukimya wake lakini Mb Dog kila ngoma atakayotoa ni hit na itaishi kwa muda mrefu, Hicho ndo kitu ambacho bado kinampa nafasi Mb Dog kuendelea kufanya vizuri pia.
Bongoswaggz inakusogezea ngoma mpya ya Mb Dog iliyopikwa na Producrer Villy kwenye studio za Macopa Records. Enjoy

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.