Audio: Makomando - Saula - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Makomando - Saula

Hakika tunaijua maana halisi ya kusaula hasa kigoma kinapokuwa kimenoga. Ila leo Makomando wamekuja na saula, hii itakuwa ni ngoma yao ya kwanza tangu kuanza kwa mwaka huu 2017
Bongoswaggz inakupa nafasi na kuinjoy na Saula ya Makomando, ngoma iliyokuja na muonekano tofauti na ngoma zao zilizowahi kupita. Enjoy

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.