Audio: Diamond Platnumz ft Sporah - Kosa Langu - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio: Diamond Platnumz ft Sporah - Kosa Langu

Tuliwahi kukisikisikia kionjo cha nyimbo hii miezi kadhaa nyuma na imekuwa ni kiu kwa mashabiki wa Diamond Platnumz kwa muda mrefu.  Ngoma ambayo mtu mzima Diamond ameimba kwa kulalamika na sauti ya mrembo kwa mbali.
Bongoswaggz inakupa nafasi ya kuinjoy na ngoma hii aliyomshirikisha mwanadada Sporah. Enjoy na ngoma hii ya Kosa langu.
                                                
https://my.notjustok.com/track/download/id/182965/by/37D6aifkfG

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.