Zari Rapper Aibuka: Rapa Mpya wa Kike Anayekuja Kuishika Bongo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zari Rapper Aibuka: Rapa Mpya wa Kike Anayekuja Kuishika Bongo

Kila baada ya siku kadhaa kumekuwa na haka kamchezo ka mtu kujitokeza na kudai kufanana na staa wa bongo na sasa baada ya kuibuka kwa harmo rapper na chibu rapper sasa kaibuka rapper mpya wa kike aitwaye Zari rapper.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.