Yemi Alade Kuja na Ngoma Maalum ya ‘Valentine’s Day’ Jumatatu Ijayo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Yemi Alade Kuja na Ngoma Maalum ya ‘Valentine’s Day’ Jumatatu Ijayo.

Yemi Alade ameahidi kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Sugar & Space’ Jumatatu ijayo.

Muimbaji huyo wa Nigeria amedai wimbo huo ni maalumu kwa ajili ya siku ya wapendanao ‘Valentine’s Day’ February 14 kila mwaka.

“VALENTINE CAME EARLY…. #SUGARNSPICE. VIDEO OUT ON THE 9TH – 01 – 2017,” ameandika Yemi kwenye mtandao wa Instagram.

Video ya wimbo huo imeongozwa na Ovie.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.