Video: ‘Pacha’ wa Harmonize, Harmorapa Aachia Video ya Wimbo Wake Mpya ‘Usigawe Pasi’ - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: ‘Pacha’ wa Harmonize, Harmorapa Aachia Video ya Wimbo Wake Mpya ‘Usigawe Pasi’

Msanii wa muziki, Hamorapa anayedai ni pacha wa Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Usigawe Pasi’ aliomshirikisha Em One. Video imeongozwa na Khero One. 


Nini Maoni yako kuhusu Ngoma Hii ? 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.