Video: Mike Tyson Athibitisha Kumnoa Chris Brown Kwenye Pambano lake na Soulja Boy. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Mike Tyson Athibitisha Kumnoa Chris Brown Kwenye Pambano lake na Soulja Boy.

Lile pambano la ndondi kati ya Chris Brown na Soulja Boy linazidi kupata promotion zaidi.

Bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu, Mike Tyson, amethibitisha kuwa atamnoa Chris Brown.

Tyson amepost video hiyo juu kwenye Instagram na kuandika: It’s official. I’m going to train @chrisbrownofficial. Gonna teach him every dirty trick in the book to knockout @souljaboy. #showup #desertbeatdown #norunning #noexcuses @fredfrenchy

Kabla ya ku post video hiyo, 50 Cent alimpigia simu Mike ili kumuomba amnoe Breezy ambapo kwa njia ya simu pia alithibitisha kama ionekanavyo kwenye video.

Kwa upande wake Soulja Boy atanolewa na Floyd Mayweather.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.