Video: Fid Q - Kemosabe - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Fid Q - Kemosabe

Mkali wa Hiphop nchini Tanzania Fareed Kubanda almaarufu kama Fid Q ameamua kuwa-surprise mashabiki zake kwa kuwashushia video ya ngoma yake aliyoitoa kama interlude kwenye birthday yake ya mwaka 2015.

Inaitwa Kemosabe, nimeileta hapa karibu yako ili uweze kuenjoy nayo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.