Vanessa Mdee Ashirikishwa Kwenye Mixtape ya Legendury Beatz - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Vanessa Mdee Ashirikishwa Kwenye Mixtape ya Legendury Beatz

Vanessa Mdee ni miongoni mwa wasanii walioshirikishwa kwenye mixtape ya kundi la maproducer mahiri wa Nigeria wenye makazi yao Uingereza, Legendury Beatz. Watayarishaji hao wanafahamika kwa kutayarisha hits kibao ikiwemo Ojuelegba ya Wizkid. Mixtape hiyo itakayoachiwa hivi karibuni, inaitwa Afropop 101. Pamoja na Vee Money, wengine walioshirikishwa ni pamoja na Wizkid, R2Bees, Timaya, Niniola, Sim, Mr Eazi na wengine.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.