Tekno Alilipwa Shilingi Bilioni 8.8 Kusaini na Sony Music. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tekno Alilipwa Shilingi Bilioni 8.8 Kusaini na Sony Music.

Unaweza kusema Tekno ndiye mwanamuziki ghali zaidi Afrika kwa sasa.

Ili kusaini mkataba wake na Sony Music, hitmaker huyo wa Pana, amelipwa dola milioni 4, ambazo ni takriban shilingi bilioni 8.8 za Tanzania.
Hicho ni kiasi kikubwa zaidi kuwahi kupewa msanii wa Afrika kwenye record label deal. Taarifa za Tekno kuchukua mkwanja huo, zimetolewa na promota wake, Paul O wa kampuni ya Upfront & Personal kama anavyosikika akieleza kwenye video hiyo.

Umaarufu wa Tekno uliongezeka maradufu mwaka jana kufuatia mafanikio ya wimbo wake Pana.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.