Rihanna Aitembelea Malawi Kupitia Mradi Wake wa Elimu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rihanna Aitembelea Malawi Kupitia Mradi Wake wa Elimu.

Malawi imekuwa nchi ya kwanza Afrika kufaidika na mpango wa kusaidia elimu ulioanzishwa na taasisi ya mwanamuziki wa Marekani, Rihanna. Muimbaji huyo kupitia taasisi yake ya Clara Lionel ameenda nchini humo na kuzitembelea shule mbalimbali. Akiwa kama balozi wa Global Citizen and the Global Partnership for Education, Riri alikutana na walimu, maafisa wa elimu na wanafunzi.
A photo posted by badgalriri (@badgalriri) on


RiRi alianzisha taasisi ya Clara Lionel mwaka 2012 kama kumbukumbu ya babu na bibi yake, Clara na Lionel Braithwaite.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.