Nay wa Mitego Amsihi Raymond wa WCB Amwandikie Madee Nyimbo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nay wa Mitego Amsihi Raymond wa WCB Amwandikie Madee Nyimbo.

Nay wa Mitego ameuweka uhasimu wake na Madee kwa kumuomba Raymond amsaidie rais huyo wa Manzese kumwandikia nyimbo.

Nay alitoa ushauri huyo baada ya watangazaji wa kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, kumsikilizisha wimbo mpya wa Madee, Hela akiamini kuwa hauna kiwango cha kuridhisha.

“Nimeusikiliza, nimemuona Raymond anatakiwa kurudi sehemu kuwasaidia kaka zake,” alisema Nay.

Kwa muda sasa Nay na na Madee wamekuwa kwenye uhasama kimuziki.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.