Mwana FA: Sina Mpango wa Kufanya Kazi Tena na Lady Jaydee. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwana FA: Sina Mpango wa Kufanya Kazi Tena na Lady Jaydee.

Rapa Mwana FA anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Dume Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii Lady Jaydee.
]
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet bongo kunachorushwa na east Africa Radio " kwasasa sina mpango tena kufanya Kazi na Lady Jay dee na hili swali sijui kwanini linajirudia Mara kwa mara na wasanii wengine na sina tatizo nao.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.