Mwana Fa Kaitaja Kolabo ‘Aliyobaniwa’ na AY - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwana Fa Kaitaja Kolabo ‘Aliyobaniwa’ na AY

Mwana Fa ni yupo kwenye list ya wasanii ambao huwezi kuwasikia mara kwa mara wakiwa wameshirikishwa kwa sababu ya masharti ambayo ameyaweka kwenye kolabo zote anazoomba kushirikishwa na aliwahi kuzungumza kuwa mwaka 2016 amekataa zaidi ya kolabo 50.

Pamoja na urafiki au ukaribu walionao kati ya Mwana Fa na AY lakini kumbe inapofika kwenye kazi huwa inakua tofauti,Mwana Fa amesema kuna kolabo ambayo aliomba kushiriki lakini nae ‘akatoswa’ na ameitaja wazi kolabo ambayo aliomba kuifanya ni AY>>’Kolabo niliyoomba ni Zigo kwanza mimi niliitaka mwanzoni kabisa,nikamwambia eh bwana eh mi naomba hii sasa AY akaitoa halafu akanipa beat fanya hiyo kama unataka nikamwambia umeshatoa mimi sitaki tena’

‘Akaja akafanya Remix na Diamond halafu nilipoisikia nikasema eeh bwana ehe humu kama ningekuwa nimepitisha kumi na sita zangu ingekuwa fresh kweli lakini ikawa imeshatoka’. AY.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.