Mo Music Awapa Somo Wasanii Wanaotegemea ‘Kiki’ - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mo Music Awapa Somo Wasanii Wanaotegemea ‘Kiki’

Msanii wa bongo fleva Mo Music amewasihi wasanii wezake kutengeneza nyimbo nzuri badala ya kutafuta kiki mbalimbali ili kutengeneza ‘hit song’ huku wakitengeneza nyimbo mbaya zisizo na ujumbe wowote kwenye jamii.

Akiongea kupitia eNewz Mo Music mwaka 2016 haukuwa mzuri sana kwenye maisha yake kwa kuwa alikuwa na kesi mahakamani na aliyekuwa mchumba wake.

Hata hivyo Mo Music hakusita kuwashukuru mashabiki zake wanaomsapoti kwa mwaka 2016 na kuwaahidi kuachia nyimbo kali na kuwapatia mashabiki zake kile wanachokipenda kutoka kwake.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.