Mlinda Mlango wa Kagera Sugar, David Burhan Afariki Dunia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mlinda Mlango wa Kagera Sugar, David Burhan Afariki Dunia

David Buruhan kipa wa Kagera Sugar na mtoto wa mshambuliaji wa zamani wa timu ya PAN, Abdallah Buruhan amefariki leo Hospitali ya Bugando.

Aliugua ghafla wakielekea Singida kwenye mechi ya Kombe la Shirikisho, waliporudi Kagera hali yake ikawa mbaya na kukimbizwa Bugando.

Hili ni pigo kubwa kwa wakazi wa Kagera na mashabiki mnazi wa chama la nyumbani Kagera Sugar.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.