Matonya Na Mpango Wa Remix ya 'Anita' na Lady Jay Dee. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Matonya Na Mpango Wa Remix ya 'Anita' na Lady Jay Dee.

Msanii mkongwe wa muziki Matonya amewaahidi mashabiki wa muziki wake kumtafuta muimbaji Lady Jay Dee ili kuangalia kama wanaweza kufanya remix ya wimbo ‘Anita’ ambao ulifanya vizuri kwa miaka iliyopita.
Amesema hayo Matonya wakati akizungumza live kupitia mtandao wa Instagrma, ambapo alidai ni jambo ambalo linawezekana kwa upande wake.
“Remix ya Anita inawezekana lakini ngoja nimtafute Lady Jay Dee halafu tuangalie kama tunaweza kufanya,” Matonya alimjibu mmoja kati ya mashabiki hao waliouliza kuhusu remix hiyo.
Muimbaji huyo kwa sasa anafanya vizuri na wimbo ‘Hakijaeleweka’.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.