Matokeo ya Kidato cha Nne Mwaka 2016 Yametoka, Bofya Hapa Kuyaona - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Matokeo ya Kidato cha Nne Mwaka 2016 Yametoka, Bofya Hapa Kuyaona

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 31, 2017 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kuhitimu Elimu ya Sekondari, Kidato cha Nne kwa  mwaka 2016, mtihani ambao ulifanyika mwishoni mwa mwaka jana ambapo ufaulu umeongezeka kwa asilimia 2.44 ukilinganishwa na ule wa mwaka jana.
Katika matokeo hayo, shule za Mikoa ya Pwani na Dar es Salaam zimeonekana kung’ara zaidi kwa kushika nafasi za juu wakati huohuo  shule 6 za Dar es Salaam zikishika nafasi 10 za mwisho katika matokeo hayo.
Shule zilizoingia 10 bora Kitaifa
  1. Feza Boys Sec School – Dar es Salaam
  2. St. Francis Girls Sec School -Mbeya
  3. Kaizirege Junior Sec School – Kagera
  4. Marian Gilrs Sec School – Pwani
  5. Marian Boys Sec School- Pwani
  6. St. Aloysius Girls Sec School – Pwani
  7. Shamsiye Boys Sec School – Dar es Salaam
  8. Anuarite Girls Sec School- Kilimanjaro
  9. Kifungilo Girls Sec School- Tanga
  10. Thomas More Machrina Sec School – Dar es Salaam

Blog yako pendwa BongoSwaggz tayari tumekosogezea karibu matokeo haya unaweza kuyaona kwa ku bofya hapa 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.