Maneno ya Zari kwa Watakaohudhuria Arobaini ya Mtoto Wake January 28. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Maneno ya Zari kwa Watakaohudhuria Arobaini ya Mtoto Wake January 28.

Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari wanategemea kufanya arobaini ya mtoto wao wa pili aitwae Prince Nillan January 28 2017 Dar es salaam ikiwa ni baada ya kubadilisha na kuamua kuifanyia Tanzania na sio South Africa kama ilivyokua mwanzo.

Zari alithibitisha hivyo kupitia ukurasa wake wa Snapchat na pia akawasihi watakaohudhuria kwenye shughuli hiyo wasivae madera wala sare.
Bofya Hapa Kujiunga Nasi INSTAGRAM 

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.