Man Walter Alitaka Diamond Ashirikishwe Kwenye Wimbo wa Mr Blue Mboga Saba Badala ya Ali Kiba. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Man Walter Alitaka Diamond Ashirikishwe Kwenye Wimbo wa Mr Blue Mboga Saba Badala ya Ali Kiba.


P Zone Mc msanii kutoka micharazo ya Mr Blue amefunguka kwenye FNL ya EATV na kudai Man Water alitaka Diamond ndio ashirikishwe kwenye ngoma ya Mr blue #mbogasaba

"Man water alitaka diamond aingize vocal kwenye wimbo wa Mr Blue lakini haikuwa hivyo, Mr blue alitaka Kiba afanye kitu zaidi na tulipompigia simu kiba alifanya heshima kubwa zaidi mimi mwenyewe sikutegemea"

Hata hivyo @pzone_mc aliongeza kwa kusema @man_water alitaka kifanyike kitu zaidi ya pale alipofanya @officialalikiba na ndio maana katafutwa mwanadada aingize tena sauti kwenye kolabo hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.