Kumbe Nicki Minaj na Meek Mill Kuachana Kwao ni Kiki Tu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Kumbe Nicki Minaj na Meek Mill Kuachana Kwao ni Kiki Tu.

Kweli Kiki zina run dunia, baada ya The Weeknd na Selena gomez mahusiano yao kutajwa ni kiki, Meek na Nicki Minaj ile mikwara yote ya kuachana nayo ni Publicity stunt.
Kupitia taarifa ambazo zimetolewa na mtandao wa MediaTakeout unasema kwamba moja ya watu wa ndani wa Young Money ambao wanafahamu kuanzia mwanzo hadi mwisho wamesema kwamba ile ishu ya kuvunjika kwa mahusiano ya Nicki na Meek ni jambo ambalo feki, kwasababu mtu huyo wa ndani amefunguka kwamba haamini kama wawili hao wametengana.
“I don’t think they ever even broke up, Nicki was in the studio all last week and she was texting with [Meek]. He even came by and picked her up, probably all just [publicity]. I don’t think they ever broke up.”
Ishu ya wawili hao kuachana imeanza muda mrefu hata kabla ya Nicki Minaj kuamua kutangaza kwa mashabiki zake kwamba yeye ni single, huku sababu kubwa iliyotajwa inasema kwamba wawili hao walikorofishana kutokana na Meek Mill tabia yake kubadilika.
Upande mwingine wa pili mashabiki wameanza kutengeneza maswali mengine kwamba inaweza kuwa ni Kiki ya kuifanya mixtape mpya DC4.5.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.