Izzo Bizness: Najiandalia Show Zangu Mwenyewe Ili Nipate Mashabiki Wapya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Izzo Bizness: Najiandalia Show Zangu Mwenyewe Ili Nipate Mashabiki Wapya

Wasanii wengi wa Kibongo wamekuwa wakisubiri kupigiwa simu ili wapate shows. Hii imekuwa tofauti kwa rapper Izzo Bizness ambaye amefunguka kuwa yeye hujiandalia show zake mwenyewe ili apate mashabiki wengi zaidi.

Amedai kuwa hiyo pia imechangiwa na uwepo wa show kubwa chache hapa Tanzania ambazo kama msanii akizitegemea hizo tu, atakufa na njaa. Ameongeza kuwa kwa kusubiri upigiwe simu na waandaji, unaweza ukajikuta kwenye wakati mgumu kwa kuwa show hizo hazina uhakika wa kila msanii kuitwa.
“End of the day tunafanya kazi ili tuishi,” amesema. 


UMEONA PICHA MATATA NA VIDEOS KUTOKA INSTAGRAM YETU ? BOFYA HAPA KUONA UHONDO

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.