Instagram Wakata Kiu ya Watumiaji Wake, Tanzania Yapokea Kwa Kasi Kubwa LIVE Video. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Instagram Wakata Kiu ya Watumiaji Wake, Tanzania Yapokea Kwa Kasi Kubwa LIVE Video.

Baada ya kiu ya muda mrefu kutoka kwa watumiaji wa mtandao wa Instagram sasa imekwisha. 

Sasa unaweza kwenda LIVE na kuwaonyesha marafiki/mashabiki/wateja kuwa kitu gani unafanya na wakaona kwa muda huo huo kupitia #LiveVideo. Ni rahisi fanya kama unapost Story (Post ya kukaa masaa 24 ) then utaona option ya LIVE imeongezeka Bofya Kisha furahia kwa Kuongea LIVE na watu wako huku ukipokea comments zao na likes nyingi pia. 

Picha ikionyesha watu ambao wapo LIVE kwa muda husika.

Pia unaweza kutazama Video za Marafiki/Mastaa na yoyote unayependa kwa kuangalia juu kabisa kwenye Home yako ya Instagram au kwa kupata Notification yenye kukuambia kuwa kwa sasa nani ameanza LIVE video. 

Mwigizaji Aunt Ezekiel akiwa LIVE.
Ungana nasi pia Follow @bongoswaggz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.