Huu Ndio Ujumbe Mzito Kutoka Kwa Wolper, Je Anaumia ? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Huu Ndio Ujumbe Mzito Kutoka Kwa Wolper, Je Anaumia ?

Tukiwa bado hatuna uhakika wa kilichotokea kati ya mwanamziki wa WCB Harmonize na mwigizaji Jacqueline Wolper. Harmonize anaonekana kuwa kimya na kutosema chochote kuhusiana na kuvunjika kwa uhusiano wao kitu kilichowashtua mashabiki zao.

Wolper amepost Instagram Ujumbe huu hapa: 

''Yanayoendelea kwenye maisha yako..Mungu anakuona na anaauluhisha
Yaani hata ukiwa forced kuyakabili kwa moto na maumivu Times you sleep alone and you feel like your heart is aching Just know utashinda na utatoka mgumu na mzuri zaidi,
Keep telling yourself "nitashinda" uambie moyo wako
"Sukuma damu acha kiherehere"😂
Ila seriously ....
The the funny thing about pain, it makes you better, inakukuza unapanda zaidi... japo majuto on the other hand yatakua yanakuja na kuondoka ila utakua tayari umeshapanda daraja...! "Even gold has to pass through fire"
We always come out shining and worth more...!
☺☺☺
Kwa wale mnaopitia magumu, manaoumia.. keep burning my darlings mtatoka mnang'aa kama dhahabu''

Je unadhani anajuta kuwa na Harmonize au anajipa moyo kwa yaliyotokea na kuonesha kuwa anachukia mapenzi ?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.