Huenda hii ikakusaidia siku Moja ili Usiibiwe Hela Kwenye ATM - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Huenda hii ikakusaidia siku Moja ili Usiibiwe Hela Kwenye ATM


Endapo utavamiwa na majambazi na wakakulazimisha kuwatolea pesa kwenye ATM, ili kuokoa maisha yako, wala usitaharuki.

Unachopaswa kufanya ni kuingiza namba ya siri kinyume. Kwa mfano kama namba yako siri ni 1234, basi ingiza kama 4321.

Ukimaliza tu kuingiza tarakimu hizo, pesa zitaanza kutoka lakini zitakwama katikati. Ikitokea hivyo, taarifa kwamba kuna uhalifu unatendeka kwenye ATM hiyo itatumwa kwa Afisa Usalama wa benki husika na Kikosi cha Polisi bila ya m/wahalifu kujua.

Kila ATM ina mfumo huu, bahati mbaya ni kwamba mabenki hawawaelimishi wateja wao kuhusu tahadhari hii.

Wasambazie taarifa hii ndugu, jamaa na marafiki wote, huenda ukaokoa maisha ya mmoja wao.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.