Dume Suruali ya Mwana FA Yafikisha Views Million 2 Youtube. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dume Suruali ya Mwana FA Yafikisha Views Million 2 Youtube.

Video ya wimbo huo wa FA aliomshirikisha Vanessa Mdee umefikisha idadi ya watazamaji Million 2 kwenye mtandao wa YouTube katika kipindi cha mwezi mmoja tu.

“Najua najua, kwamba sio namba kubwa hii kwa baadhi ya wasanii,actually ni kanamba flani kaduchu tu,ila kwangu its a big deal..kwa hivyo sitakaa niigize hapa kuwa ‘this is how we do it’ na ‘it’s normal’,no it’s not,sio kawaida, nashangaa, asanteni sana, how about tukifika 3m tunatoa ngoma nyingine?n ow lets get to 3m. shukrani sana!…Nawaombea Wiki Njema Mahangaikoni… #DumeSuruali
Faaaalsafa!🎼,”
Mwana FA ameadika Instagram.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.