Diamond Platnumz Ashinda Tuzo Nyingine Nchini Nigeria. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Ashinda Tuzo Nyingine Nchini Nigeria.

Diamond Platnumz ameibuka mshindi kwenye tuzo za Too Exclusive za nchini Nigeria zilizotolewa wiki hii.

Hitmaker huyo wa Salome, amenyakua tuzo ya Msanii Bora wa Mwaka wa Afrika na kuwabagwa AKA, Vanessa Mdee na wengine waliokuwa wakiwania kipengele hicho.

Ameshukuru ushindi huo kwa kuandika, “Thank you so Much my dear fans…thanks alot Too Exclusive Awards #AfricanArtisteOfTheYear .”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.