Diamond Platnumz Akabidhiwa Bendera Kuiwakilisha Tanzania Katika Mashindano ya #AFCON2017 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz Akabidhiwa Bendera Kuiwakilisha Tanzania Katika Mashindano ya #AFCON2017

Mwanamuziki Diamond Platnumz amekabidhiwa bendera ya Tanzania na waziri wa habari sanaa na michezo Mh. Nape Nnauye ili kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya #AFCON2017 nchini Gabon ambapo atatumbuiza katika ufunguzi wa mechi ya michuano hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.