Diamond na Zari Wapamba Jarida la Mamas and Papas la South Africa (Picha) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond na Zari Wapamba Jarida la Mamas and Papas la South Africa (Picha)

Wakati wakisubiri ujio wa mtoto wao wa kiume, Nillan, Zari na Diamond walipiga picha kwaajili ya jarida la Mamas and Papas la nchini Afrika Kusini.

Na sasa jarida hilo linaingia mtaani February mwaka huu. Kupitia Instagram, Mamas and Papas, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na maoni tofauti.

Chini ni picha za siku waliyofanya photoshoot.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.