Diamond Kutumbuiza Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Kutumbuiza Kombe la Mataifa ya Afrika 2017

Staa wa Bongo Flava na Rais wa Wasafi, Diamond Platnumz, siku chache baada ya kutumbuiza kwa ustadi mkubwa kwenye tuzo za Shirikisho la Soka Afrika (CAF) jijini Abuja nchini Nigeria, amealikwa tena kutumbuiza kwenye ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2017 (AFCON 2017), Januari 14 nchini Gabon.

Staa huyo amewapa habari njema mashabiki wake kupitia mitandao ya Twitter na Instagram, kwa kupost taarifa ya shoo yake hiyo iliyowekwa kwenye akaunti maalum ya AFCON 2017.

“GABON!!! You know we gat to make a World History on the 14th January right?? See you this this Coming Weekend then… #WcbWasafi” aliandika.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.