Chelsea Yaifikia Rekodi ya Arsenal ya Ushindi wa Bao 13 Mfululizo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Chelsea Yaifikia Rekodi ya Arsenal ya Ushindi wa Bao 13 Mfululizo.

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte hata hivyo amesema kuwa lengo la Chelsea sio rekodi bali ni taji la Uingereza

Chelsea imeshinda mechi yake ya 13 mfululizo katika mchuano wa ligi kuu ya Uingereza Premier League.

Sasa inawiana na rekodi kama hiyo ya Arsenal.

Wakiongozwa na meneja wao Antonio Conte Chelsea imeishinda Stoke City mabao manne kwa mawili huko Stamford Bridge.

Kwa hivyo ni sherehe mara mbili - mwaka mpya na pointi sita mbele ya nambari mbili ambao ni Liverpool, walioichara Manchester City bao la kufunga mwaka moja bila.

Mkufunzi wa Chelsea Antonio Conte hatahivyo amesema kuwa lengo la Chelsea sio rekodi bali ni taji la Uingereza

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.