Bongo Movies Wapata Pigo la Kuondokewa na Mmoja Wao. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Bongo Movies Wapata Pigo la Kuondokewa na Mmoja Wao.


Muigizaji  Kijakaz Pazi Shabani (ZAMZAM) Amefariki jana mkoani kigoma

Mwili wake unasafirishwa kuelekea mkoani Dar es salaam.

Msiba upo Sokota karibu na sheli. Temeke

Kwa wale waliomsaau alikuwa kundi la kidedea alicheza tamthilia ya  mchezo wa kidedea yeye na marehemu Tabia baba yao alikuwa mzee jengua,

Nawaomba wasanii wote tujumuike kwa pamoja kwenye msiba tukawafariji wafiwa.

Taratibu za mazishi tutataarifiana zaidi.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.