Barcelona Uso kwa Uso na Atletico Madrid Nusu Fainali Copa Del Rey - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Barcelona Uso kwa Uso na Atletico Madrid Nusu Fainali Copa Del Rey

Hatimae Ratiba ya Kombe la Mfalme nchini Hispania Copa Del Rey imetoka baada ya kumalizika kwa michezo ya Robo fainali juzi usiku ambako tuliona Barcelona igiwagaragaza Real Sociadad mabao 5-2 huku tukishuhudia Real Madrid ikiiaga michuano hiyo.

Barcelona watavaana na Atletico Madrid kunako dimba la Vicente Calderon na huku Alves ikiikaribisha Celta Vigo na Mechi zote zitachezwa Tarehe 1 februari na kurudiana Tarehe 8 Februari.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.