Audio:- Hemedy PHD - Mkimbie ( Download & Listen) - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Audio:- Hemedy PHD - Mkimbie ( Download & Listen)

PapiNation inayomsimamia Hemedi suleiman a.k.a Phd, aamua kutupa hii baada ya ukimya wa muda katika game, Hatimaye amerudi na hii aliyoipa jina la Mkimbie.

Bongoswaggz haitaki kukunyima nafasi ya kuinjoy na Mkimbie ya Phd. Chukua nafasi ya kuidownload Hapa.Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.