Zari Awashangaza Wengi Baada ya Tumbo lake la Uzazi Kupungua Ndani ya Wiki Moja Tu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zari Awashangaza Wengi Baada ya Tumbo lake la Uzazi Kupungua Ndani ya Wiki Moja Tu.


Ikiwa ni wiki moja tu imepita tangu Zari kujifungua ameonekana akiwa na mwili wake wa kawaida.  Huu ni ushauri wake kwa wanawake from #zarithebosslady - Good morning.... ladies no need to worry coz our bodies are different. But I did exercise during pregnancy which has helped my body get bk within 7days.... and for those stretch marks keep using olive oil during and after pregnancy. #

Maneno haya unaweza kuyasoma kwa kiswahili hapa chini: 

''Habari za asubuhi....wanawake msiwe na shaka kwani miili yetu inatofautiana. Lakini nilifanya mazoezi kipindi cha ujauzito ambayo yamenisaidia mwili wangu kurudia hali yake ndani ya siku 7...na kwa michirizi/mistari ya alama za kutanuka kwa ngozi tumia olive oil kipindi cha ujauzito na hata baada.#'

Tiffah wa Diamond Akiwa na Gari Yake Aina Ya Bentley. Tazama Hapa Chini;

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.