Video: Young D - Furaha. Ujumbe kwa Dogo Janja - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Young D - Furaha. Ujumbe kwa Dogo Janja

ukizungumzia wasanii rappers hapa bongo ambao wameanza mziki wakiwa na umri mdogo zaidi basi hutowasahau Dogo Janja na Young d,wasanii wao wameanza mziki wakiwa chini ya miaka 18.


Dogo janja ni msanii anaetazamiwa kuumaliza mwaka kwa majonzi mazito, kwa kufiwa na baba yake mzazi alikuwa akiishi huko moshi.

Young d ni miongon mwa wasanii waliokuwa pamoja na Dogo janja hasa karika harakati za kimuziki.na young d anachukua nafasi hiyo kwa kutoa nyimbo maghususi kwaajili ya Dogo janja.

Bongoswaggz inakusogezea maneno ya young d kweye ukurasa wake wa Instagram.

"Nilipanga kuachia video yangu nikiwa na furaha sana.Furaha yangu nilitamani itawale kuanzia wangu na mashabiki zangu pia na kwa waanii wenzangu.lakini kwa bahati mbaya msanii mwenzanu @dogojanjatz amepoteza nguzo imara sana katika masisha yake.

   Miaka minane iliyopita nilipitia changamoto kama hiyo kwa kumpoteza mzee wangu.kitu pekee nilichokuwa nakihitaji ilikuwa ni furaha itokanayo na faraja kutoka kwa watu walionizunguka.Nilikuwa sina mpango wowote wa kuachia nyimbo yangu wiki hii.

"Lakini nimeamua kuachia wimbo wangu leo kama dedication kwa @dogojanjatz.Wimbo wangu unaitwa Furaha naamini ndo kitu pekee anachikiitaji mwanagu kwasasa. You have all my support Badman Ihave Nothing But love to You." aliandika hayo young DBongoswazz inakusogezea nyimbo mpya ya Young d alobatizwa jina la Furaha.itazame hapo.
 https://youtu.be/ilUOV16fBqA


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.